We use cookies on this website. By continuing to use this site without changing your cookie settings, you agree that you are happy to accept our privacy policy and for us to access our cookies on your device.
TV PKG:mlipuko wa ugonjwa wa macho Mekundu maarufu kama Red Eyes 02-06-2024
February 6, 2024
Huko Tanzania umetokea mlipuko wa ugonjwa wa macho Mekundu maarufu kama Red Eyes, licha ya wataalamu wa afya kueleza kuwa ugonjwa huo hauna tiba isipokua kufanya tiba za dalili zake, hata hivyo kumekewepo na taarifa nyingi juu ya njia mbalimbali za kutibu dalili hizo, wapo wanaoamini chumvi inaweza kutibu hata wengine wakiamini mikojo, haya yote kitaalamu ni njia zisizosahauriwa kwani zinaweza kuwa na madhara makubwa hata kuliko ugonjwa wenyewe, Mwanahabari wetu Idd UWESU ameandaa makala hii fupi kuhusu ugonjwa huu
Content TypePackage
LanguageKiswahili (Swahili)
NewsML Media TopicsArts, Culture, Entertainment and Media
Rights“Rights are not granted for this content on YouTube. Posting of this content on YouTube is strictly prohibited.”